Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/list.ackyshine.com/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Jinsi ya kuamsha mahaba na mapenzi katika mahusiano

Featured Image

Hizi hapa njia za kuamsha na kudumisha uhusiano mzuri kati yako na mpenzi wako hasa baada ya kuwa mmeshazoeana sana na kuhisi kuchokana.

Dumisha faragha katika mahusiano yenu

Hakikisha kunakua na faragha katika mahusiano yako na mpenzi wako. Vile vile itahakikisha kuwa wewe na mpenzi wako mnakuwa na wakati wa kutosha kustarehe bila wasiwasi. Usiruhusu siri zako na mwanamke zitoke nje kati yenu.

Β 

Tenga muda wa kustarehe pamoja

Ili kudumisha mahusiano na mwanamke lazima kuwepo na mda wa kuwa pamoja na kufanya mambo yenu mnayoyataka kwa kuridhika bila kupungukiwa na muda. Kwa mfano ni muhimu kupumzika mapema kitandani ili kuhakikisha mnakuwa na wasaa wa kutosha wa kufanya mapenzi.

Ongeeni pamoja kwa uhuru kuhusu suala la tendo la ndoa

Ni muhimu kujadili na kukubaliana na mwanamke kuhusu swala la kufanya mapenzi. Ni vyema muongee kuhusu suala la mapenzi na jinsi ya kuwasha moto wa mapenzi baada ya kuchokana. Mwanamke anatakiwa apewe uhuru wa kusema kile anachokihitaji.

Β 

Pangeni miadi ya usiku

Mwanamke huridhika zaidi katika mapenzi kwa kuandaliwa ipasavyo hii ikiwa ni pamoja na kuwa na utayari wa kufanya mapenzi. Hivyo ni vyema kupanga miadi ya usiku ili mwanamke awe tayari na ili kumridhisha mwanamke.

Badilisha mazingira

Njia nyingine ya kuamsha mapenzi ni kubadili mazingira ya kufanyia mapenzi. Kwa mfano mnaweza kuacha kitanda chenu cha nyumbani na kulala katika chumba cha hoteli iwapo uamuzi huo utaboresha mapenzi kati yenu.

Download Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE
[products columns="2" ids="30827"]
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Jinsi ya Kuunda Msingi Mzuri katika Mahusiano: Vidokezo vya Mafanikio

Jinsi ya Kuunda Msingi Mzuri katika Mahusiano: Vidokezo vya Mafanikio

  1. Jifunze kusikiliza mwenzako Katika msingi wa mahusiano yoyote ni muhimu kwa wapendanao ... Read More

Kukabiliana na Mazoea ya Kukosa Mshikamano katika Familia: Kuunda Nafasi ya Kusaidiana

Kukabiliana na Mazoea ya Kukosa Mshikamano katika Familia: Kuunda Nafasi ya Kusaidiana

  1. Familia ni sehemu muhimu sana katika maisha yetu, lakini mara nyingi mazoea ya kukosa m... Read More

Nafasi ya Mwanamke katika Kufanya Mapenzi: Kusaidia Wanawake Kujiamini na Kufurahia

Nafasi ya Mwanamke katika Kufanya Mapenzi: Kusaidia Wanawake Kujiamini na Kufurahia

Karibu katika makala hii juu ya nafasi ya mwanamke katika kufanya mapenzi. Kama mwanamume, unawez... Read More

Jinsi ya Kusaidiana na mpenzi wako katika kujenga na kudumisha usawa na haki za watoto wenu

Jinsi ya Kusaidiana na mpenzi wako katika kujenga na kudumisha usawa na haki za watoto wenu

Leo nitazungumzia juu ya jinsi wewe na mpenzi wako mnaweza kusaidiana katika kujenga na kudumisha... Read More

Jinsi ya Kuwa na Mazungumzo ya Uwazi na Watoto Kuhusu Jinsia na Mahusiano

Jinsi ya Kuwa na Mazungumzo ya Uwazi na Watoto Kuhusu Jinsia na Mahusiano

Kama mzazi, ni muhimu kujenga mazungumzo ya uwazi na watoto wako kuhusu jinsia na mahusiano. Hii ... Read More

Jinsi ya Kusimamia Uchungu wa Kupendwa na Msichana

Jinsi ya Kusimamia Uchungu wa Kupendwa na Msichana

Jinsi ya Kusimamia Uchungu wa Kupendwa na Msichana

Kupendwa na msichana ni jambo la kufura... Read More

Kujenga Mazingira ya Upendo na Ukarimu katika Familia

Kujenga Mazingira ya Upendo na Ukarimu katika Familia

Karibu katika makala hii inayozungumzia jinsi ya kujenga mazingira ya upendo na ukarimu katika fa... Read More

Jinsi ya Kusaidia Watoto kujenga Uhusiano wa Karibu na Wazee: Kuheshimu na Kujali

Jinsi ya Kusaidia Watoto kujenga Uhusiano wa Karibu na Wazee: Kuheshimu na Kujali

Leo hii tutaangazia jinsi ya kusaidia watoto kujenga uhusiano wa karibu na wazee. Kwa kawaida, wa... Read More

Jinsi ya Kusaidiana na mpenzi wako katika kuishi na kukabiliana na msongo wa kazi

Jinsi ya Kusaidiana na mpenzi wako katika kuishi na kukabiliana na msongo wa kazi

Kila siku, tunakutana na changamoto nyingi kazini, na hii inaweza kuwa ngumu sana kwa wapenzi wan... Read More

Jinsi ya kushirikiana kifedha na Mke wako

Jinsi ya kushirikiana kifedha na Mke wako

Kushirikiana kifedha na mke wako ni muhimu katika kujenga uhusiano imara na kuendeleza maelewano kat... Read More
Kukabiliana na Migogoro katika Uhusiano: Mbinu za Mazungumzo na Ushirikiano

Kukabiliana na Migogoro katika Uhusiano: Mbinu za Mazungumzo na Ushirikiano

Leo hii, tutazungumzia kuhusu kukabiliana na migogoro katika uhusiano. Hakuna uhusiano bila migog... Read More

Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya asubuhi au jioni?

Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya asubuhi au jioni?

Habari wapenzi wa blogu yetu! Leo, tutazungumzia suala la ngono na wakati bora wa kufanya mapenzi... Read More

πŸ“– Explore More Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About