Je, kuna madhara gani kama mtu anakaa muda mrefu bila kujamiiana au kufanya mapenzi?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya iwapo utakaa muda mrefu bila ya kujamiiana. Viungo vya uzazi havidhuriki wala sehemu nyingine yoyote katika mwili wako. Mwanamke na mwanaume wakianza kujamiiana baada ya kukaa muda mrefu watapata raha na starehe kama kawaida.
Kuna uvumi potofu kwamba kutofanya mapenzi kunasababisha kuwa na chunusi usoni au sehemu za siri, au hata kuchanganyikiwa kiakili. Siyo kweli kwamba hali hiyo inasababishwa na kutojamiiana bali husababishwa na mambo mengine kabisa.
Elewa kwamba kutojamiiana kabisa hakuna madhara yoyote. Lakini kama tulivyosema awali kujamiiana kunaweza kuleta matatizo mengi kama mimba isiyotarajiwa, magonjwa ya zinaa ikiwa pamoja maambukizi ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
-
Anza kwa Kujijenga Kimaumbile
Kabla ya kumwomba msichana tarehe ya ushirikiano, ni muhi...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Ushinikizaji wa Kufanya Ngono kabla ya Wakati
Karibu vijana wapend...
Read More
Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjw...
Read More
Jinsi ya Kuwa na Mawasiliano ya Wazi na Msichana Wako
Ndoa ni muunganiko wa wawili kuwa ki...
Read More
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa s...
Read More
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madha...
Read More
Ingawaje, akili zao hazina hitilafu watoto Albino mara nyingi
hawafanyi vizuri shuleni, na h...
Read More
Nchini Tanzania ni 7% ya watu wenye umri kati ya miaka 15-49 wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI...
Read More
Unywaji wa pombe ni sehemu ya utamaduni wa Tanzania na nchi
nyinginezo duniani.
Watu h...
Read More
Mapenzi ya kweli hayabagui dini, kabila wala rangi. Kwa
kawaida, mapenzi ni matokeo ya hisia...
Read More
Virusi hivi vinakaa katika chembechembe nyeupe zilizopo kwenye majimaji ya mwili i wa binadamu ha...
Read More
Njia za Kujenga Ushawishi na Msichana katika Uhusiano
-
Kuwasiliana kwa Ukaribu
Ha...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!