Kama watu wanataka kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe wafanyeje?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kwanza kabisa, watu ni kweli wawe wamedhamiria kuacha.
Hii inataka uamuzi wa wazi na nia imara kwa sababu si rahisi
kuacha.
Pili, mtu anatakiwa kufikiria ni katika mazingira gani huwa
anajisikia kuvuta sigara au kunywa pombe. Hii kwa kawaida ni
pamoja na kundi maalumu la marafiki, katika sherehe, baada ya
kazi ngumu, baada au wakati wa kula. Kwa hiyo, kama wanataka
kuacha kuvuta sigara au kunywa pombe, wanatakiwa kubadili
mtindo wa maisha na kuepuka vishawishi.
Hatua ya kwanza katika kuacha kuvuta sigara au kunywa
pombe, inaweza ikawa ni kujiwekea malengo; kwa mfano, kuacha
kuvuta sigara kwa wiki nzima. Jipongeze kuwa umetimiza lengo
lako. Kama umeshindwa anza tena. Ni watu wachache ambao
wameweza kuacha kabisa katika jaribio la kwanza. Watu
wengine wanapata ugumu kuacha kabisa pombe na sigara.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kwa kawaida i inakubalika kuwa wavulana ndiyo waaanze kuonyesha ishara za kujamiaana na tafiti zi...
Read More
Je, kuna mambo mazuri na mabaya kuhusu ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna mambo mengi sana ambayo ...
Read More
Jinsi ya Kukabiliana na Hali ya Kujihisi Kukataliwa kuhusu Ngono π
Karibu kwenye makala...
Read More
Jinsi ya Kujikinga na Mimba Pasipo Kuharibu Afya ya Mwili
Leo tutajadili jinsi ya kujiking...
Read More
Hapana, hii si kweli! Vijana wanaoamini kwamba wana uwezo wa kufikiri baada ya kuvuta bangi kwa s...
Read More
Ili mwanamke aweze kushika mimba, i inabidi yai lililopevuka likutane na mbegu za kiume. Yai pevu...
Read More
Ubakaji ni tendo la kutumia nguvu katika ngono ambapo mbakaji anatumia nguvu kuonyesha ubabe wake...
Read More
Habari yako rafiki yangu? Leo nataka kuzungumzia suala ambalo limekuwa likiwasumbua wengi kwa mud...
Read More
Ndiyo, magonjwa ya zinaa yanaweza kuenea, hata ukitoa uume kabla ya kumwaga mbegu. Mwenye magonjw...
Read More
Karibu kwenye blogi hii ambapo tutazungumzia kuhusu mbinu za kuleta msisimko wakati wa ngono/kufa...
Read More
Je, ni muhimu kuzungumzia upendeleo wako wa ngono kabla ya kuingia katika uhusiano? Jibu ni ndio!...
Read More
Njia za Kujenga Uvumilivu na Msichana katika Changamoto za Maisha
Hakuna ubishi kwamba mai...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!