Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/list.ackyshine.com/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE ๐Ÿ”
โ˜ฐ
AckyShine

Dalili za mwanamke anayeelekea kukukubali baada ya kurusha voko a.k.a kutongoza

Featured Image

Dalili ni hizi;

Anaongeza ukaribu

Ukiona anapenda kuwa karbu na wewe na kuandamana na wewe na anajisikia ufahari kuwa na wewe jua anaelekea kukukubali. Ukiona anajishauri ujue labda anaona hamlingani kuwa pamoja.

Anaanza kukuchunguza

Ukiona haachi kukuuliza maswali binafsi na kutaka kufahamu unaishije ikiwa na pamoja na kufahamu mambo unayoyapenda mfano unapenda vyakula vipi ujue anapenda kukujua zaidi ili akupendeze.

ย 

Anaulizia ndugu zako

Ukiona anapenda kukuulizia habari za ndugu zako na kutaka kuwafahamu basi ujue tayari amekukubali na anaanza maandalizi ya kujenga mahusiano nao.

Anakwambia mambo yake

Ukiona hupenda kukupasha habari zake binafsi na za ndugu zake wakiwemo marafiki zake basi ujue amekukubali na anakuaandaa kuwa kama mwenzake.

ย 

Anaonyesha kwa matendo

Kwa mfano anajishikashika maeneo ambayo yanautangaza uzuri wake kama usoni, nywele zake au hata kurekebisha nguo zake jua anajaribu kuwa mtanashati mbele yako ili akuvutie. Katika mazingira hayo dalili zote zipo kuwa kuna uwezekano mkubwa tayari anakukubali.

Yafahamu Mambo Mbalimbali kuhusiana na Wanawake kwa Ku-Download Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKE

Kitabu hiki niย Soft copy [pdf]ย kwa hiyo unaweza kusoma moja kwa moja kirahisi kabisa hata kwenye simu yako. Utatumiwa Kopi ya kitabu hiki kwenye email yako na utaweza kukihifadhi na kusoma wakati wowote utakaotaka.

[products columns="2" ids="30827"]
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Jinsi ya Kukabiliana na Mabadiliko na Vipingamizi vya mke wako

Jinsi ya Kukabiliana na Mabadiliko na Vipingamizi vya mke wako

Kukabiliana na mabadiliko na vipingamizi vya mke wako ni sehemu muhimu ya kudumisha uhusiano wa ndoa... Read More
Kuhamasisha Ushirikiano wa Kujifunza katika Familia: Kuwa na Mwelekeo wa Kuendeleza Maarifa

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kujifunza katika Familia: Kuwa na Mwelekeo wa Kuendeleza Maarifa

Kuhamasisha Ushirikiano wa Kujifunza katika Familia: Kuwa na Mwelekeo wa Kuendeleza Maarifa

<... Read More
Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu malengo ya kusaidia jamii na kufanya mabadiliko

Jinsi ya Kuwasiliana na mpenzi wako kuhusu malengo ya kusaidia jamii na kufanya mabadiliko

Leo tunataka kuzungumzia jambo muhimu sana katika uhusiano wako wa kimapenzi na mpenzi wako. Ni k... Read More

Jinsi ya Kusaidiana katika kufikia malengo ya kifedha na mpenzi wako

Jinsi ya Kusaidiana katika kufikia malengo ya kifedha na mpenzi wako

Kusaidiana katika kufikia malengo ya kifedha ni muhimu katika kujenga msingi imara wa kifedha na kui... Read More
Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya asubuhi au jioni?

Je, watu wanapendelea ngono/kufanya mapenzi ya asubuhi au jioni?

Habari wapenzi wa blogu yetu! Leo, tutazungumzia suala la ngono na wakati bora wa kufanya mapenzi... Read More

Mbinu za Kupata Tarehe na Wasichana kwa Mafanikio

Mbinu za Kupata Tarehe na Wasichana kwa Mafanikio

Leo, tunazungumzia mbinu za kupata tarehe na wasichana kwa mafanikio. Kila mtu anataka kuwa na mp... Read More

Jinsi ya Kuishi kwa Sasa na Kuthamini Kile Ulicho Nacho na mke wako

Jinsi ya Kuishi kwa Sasa na Kuthamini Kile Ulicho Nacho na mke wako

Kuishi kwa sasa na kuthamini kile ulicho nacho ni muhimu sana katika kujenga furaha na uridhika kati... Read More
Jinsi ya Kuonyesha upendo na heshima kwa mpenzi wako

Jinsi ya Kuonyesha upendo na heshima kwa mpenzi wako

Kuonyesha upendo na heshima kwa mpenzi wako ni muhimu katika kudumisha uhusiano mzuri na wa afya. Ha... Read More
Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za kiuchumi na mbinu za usimamizi wa fedha na mpenzi wako

Jinsi ya Kuelewa na kushughulikia tofauti za kiuchumi na mbinu za usimamizi wa fedha na mpenzi wako

Sote tumezoea kusikia juu ya tofauti za kiuchumi na usimamizi wa fedha kati ya wanandoa. Hata hiv... Read More

Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia

Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia

1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani

Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mw... Read More

Njia za Kukabiliana na Kukosa Hamu ya Kufanya Mapenzi: Kurejesha Nguvu ya Mapenzi

Njia za Kukabiliana na Kukosa Hamu ya Kufanya Mapenzi: Kurejesha Nguvu ya Mapenzi

Kukosekana kwa hamu ya kufanya mapenzi ni tatizo ambalo huathiri watu wengi, haswa wapenzi. Tatiz... Read More

Kuweka Kipaumbele cha Kuishi na Nia ya Dhati katika Mahusiano yako

Kuweka Kipaumbele cha Kuishi na Nia ya Dhati katika Mahusiano yako

Kuweka Kipaumbele cha Kuishi na Nia ya Dhati katika Mahusiano yako

Kila mtu anataka kuwa n... Read More

๐Ÿ“– Explore More Articles
๐Ÿ  Home ๐Ÿ“– Reading ๐Ÿ–ผ๏ธ Gallery ๐Ÿ’ฌ AI Chat ๐Ÿ“˜ About