Kujamiiana au kufanya mapenzi salama
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Mapenzi salama ni yale yanayofanyika bila wasiwasi wa kupata mimba zisizotarajiwa, magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Mapenzi salama yanaweza kuwa ni pamoja na kumaliza hamu bila ya kujamiiana au kuchukua tahadhari kwa maana ya kutumia kondomu wakati wa kujamiiana.
Kumaliza hamu bila ya kujamiiana ni pamoja na kupiga busu, kukumbatiana, na kupiga punyeto. Vyote hivyo ni vitendo salama kabisa. Kama utajamiiana (kwa maana uume unaingizwa ukeni), ni lazima uhakikishe kuchukua tahadhari muhimu za kinga. Moja ya tahadhari inaweza kuwa wote ni waaminifu kabisa, lakini jambo hili linahitaji nyie wote wawili kuwa waaminifu na kuwa wote muwe mmepima virusi vya UKIMWI na pia msiwe mmefanya ngono hapo kabla (hamkuwa na uhusiano wa kimwili na mtu yeyote kabla. Tahadhari nyingine ni kutumia kondomu. Kondomu inazuia mimba pamoja na magonjwa ya zinaa na uambukizi wa Virusi vya UKIMWI.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya m...
Read More
Kifungu cha 14 cha Katiba ya Tanzania kinaeleza kwa ufasaha
kuwa: βKila mtu ana haki ya ku...
Read More
Kila mtu anataka kuwa na mvuto wa kipekee kwa msichana. Lakini je, unajua jinsi ya kuwa na mvuto ...
Read More
Tunatofautisha dawa za kulevya katika makundi mawili. Zile zinazokubalika na zile zisizokubalika ...
Read More
Uwezekano wa kupata majibu ya uwongo ni mdogo sana, isipokuwa tu kama vipimo vitafanyika kipindi ...
Read More
Katika swali hili lazima tutofautishe kati ya kutoa damu na kuwekewa damu. Kutoa damu hakuleti ha...
Read More
Hapana. Ukeketaji na kutahiriwa kwa mwanaume havifanani.
Kama kutahiriwa kwa mwanamume ni sa...
Read More
Mapenzi ni sehemu muhimu katika maisha ya binadamu na inaweza kuwa njia ya kujifunza, kufurahia, ...
Read More
Je, watu wanaamini nini katika kuongeza mchezo wa hisia wakati wa ngono/kufanya mapenzi?
Kufanya ...
Read More
Nifanyeje Kuzungumzia Suala la Kukosa Hamu ya Ngono? π
-
Jambo la kwanza kabisa...
Read More
Habari za leo wapendwa wasomaji! Leo, tunajadili kuhusu je, watu wanapendelea kujaribu kufanya ma...
Read More
Je, Ni Vipi Kuepuka Kufanya Ngono Kwa Shinikizo la Kutaka Kupendwa? π€
Kuna wakati maish...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!