Umri unaofaa kuoa
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana na kuzaa watoto. Ni vigumu sana kutambua umri sahihi wa mtu kuoa au kuolewa, kwa sababu watu wanatofautiana katika kuamua ni lini yuko tayari kujitegemea na kuwajibika kumtunza mtu mwingine. Wengine wanakuwa tayari katika umri wa miaka 20 na wengine katika umri mkubwa zaidi.
Kwa vile kuoa au kuolewa mara nyingi kunahusishwa na mtu kuwa mzazi, kuna vipengele vya kiafya vinavyofaa kuzingatia. Kwa mfano siyo vema msichana kuzaa kabla hajafikisha umri wa miaka 18, kwa sababu mwili wake hauko tayari kuzaa mtoto. Nyonga i nakuwa bado ni nyembamba, viungo vya uzazi ni vidogo na havijakomaa kiasi ambacho vinaweza kuharibika wakati wa kuzaa mtoto.
Kwa hiyo basi unashauriwa kusubiri i kuoana mpaka hapo utakapokuwa umejenga msingi i mzuri i wa maisha yako. Kabla hujawa tayari kuoa au kuolewa unaweza kuwa na urafiki na yule aliye mtarajiwa wake ili taratibu muweze kuelewana tabia, yale anayoyapenda na asiyoyapenda na kujenga msingi mzuri wa uhusiano.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kupata mazungumzo ya kuvutia kwa msichana unayempenda kunaweza kuwa changamoto kubwa kwa wanaume ...
Read More
-
Anza kwa Kujijenga Kimaumbile
Kabla ya kumwomba msichana tarehe ya ushirikiano, ni muhi...
Read More
Sababu mojawapo ni kuwa bangi hulimwa hapa nchini na
hivyo hupatikana kwa urahisi. Bangi huu...
Read More
Wakati mwingine ni vigumu kusema hapana ukiwa na
maana ya hapana. Jaribu kuwa mpole na usiwe...
Read More
Hapana, huwezi ukarithi uvutaji wa bangi. Lakini mara nyingi watoto huiga tabia za wazazi wao. Wa...
Read More
Watoto hawatakiwi kunywa pombe wala kuvuta sigara!
Watoto hasa ndio wapo katika hatari zaid...
Read More
Kuna aina nyingi za unyanyasaji wa jinsia na unaweza kutokea
kwa wote wanaume na wanawake. Kwa kawai...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kubaguliwa Kuhusiana na Ngono? π
Habari rafiki! Leo t...
Read More
Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja ...
Read More
Habari rafiki! Karibu katika makala hii ambayo itakupa mwanga kuhusu kile watu wanapendelea kati ...
Read More
Jinsi ya Kuepuka Kuingiliwa na Maswala ya Ngono katika Uhusiano
Karibu kwenye makala hii a...
Read More
Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wi...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!