Kwa nini mara nyingine uume hausimami?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisimka kimapenzi, damu nyingi inaenda katika mishipa ya damu ndani ya uume. Halafu uume husimama kutokana na msukumo wa damu. Hivyo kama msukumo wa damu hautoshi, hii husababisha uume kutosimama au kusimama kwa unyonge.
Kutokuwa na msisimko wa kutosha kwa ajili ya kusimamisha uume kunaweza kusababishwa na mambo mengi, mojawapo ni i i ile hali ya kutokuwa tayari kwa kujamii ana, kuwa na wasiwasi mwingi, kutompenda mpenzi wako, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, kuvuta sigara, lishe duni au maradhi mbalimbali.
Kama una shida ya uume kutosimama wakati wa kujamii ana, jaribu kuangalia ni sababu zipi kati ya hizi zilizoorodheshwa juu zingeweza kuwa sababu kuu ya shida yako. Halafu, jaribu kurekebisha matatizo.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Serikali zote na mashirika ya kimataifa wameweka mdhamana
na kukubali kulinda haki za binada...
Read More
Kitu muhimu ni kwamba, kweli uwe umedhamiria kuacha. Hatua ya kwanza ni kujiuliza kwa nini unatum...
Read More
-
Kujadili mipango ya uzazi na ngono/kufanya mapenzi kuna umuhimu mkubwa sana katika kuha...
Read More
Pombe ina tabia ya kufanya ubongo kushindwa kufikiri, na
kushindwa kujizuia na vishawishi vy...
Read More
Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Vidonge vya Kuzuia Mimba π
Karibu...
Read More
Kama kijana, kuna wakati unaweza kukutana na msichana na unataka kuzungumza naye kwa kina lakini ...
Read More
Msichana anaweza kupata mimba akijamii ana mara moja tu. Inategemea na mzunguko wa hedhi. Kama nd...
Read More
Karibu ndugu yangu kwenye makala hii ambao inazungumzia njia mbalimbali ambazo utaweza kutumia ku...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Ujasiri kuhusu Ngono? π
Karibu kwenye makala h...
Read More
Njia za Kujenga Uwezo wa Kusamehe na Msichana katika Uhusiano
Uhusiano ni kitu kizuri sana...
Read More
Unaweza ukajaribu kuzungumza na wazazi wako kwamba
ukeketaji ni desturi mbaya, na pia unawez...
Read More
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na tarehe ya kufurahisha na msichana wako. Iwe ni siku ya kuzaliwa, ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!