Je, kuharibika mimba kunasababishwa na nini?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Asimilia kumi hadi i i ishirini ya mimba huharibika. Mimba nyingi zinaharibika katika kipindi cha wiki 12 za mwanzo wa ujauzito. Sababu kuu hutokana na kuharibika kwa yai lililotungwa mimba. Iwapo yai lingeendelea kukua katika hali hii matokeo ni mtoto kuzaliwa na kasoro mwilini au kiakili. Kwa hiyo mimba kuharibika inaweza kuwa ni njia ya asili ya mwili kukabiliana na matatizo hayo ya kimaumbile.
Vilevile kuharibika kwa mimba huweza kutokea kama mama ana magonjwa kama malaria au kaswende, kama ameanguka chini kwa nguvu au kama ana matatizo kwenye via vya uzazi. Dalili za mimba kuharibika ni damu kutoka ukeni na maumivu makali ya tumbo kwa chini.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Wakati wa kujifungua, uke wa mwanamke mzima hupanuka kuanzia kipenyo cha sentimeta kumi mpaka kum...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Ujasiri kuhusu Ngono? π
Karibu kwenye makala h...
Read More
Ulemavu wa watu wanaoishi na ualbino hauingiliani na uwezo
wa kuweza kuzaa. Tuelewe kwamba u...
Read More
Wanawake wengine wanapata vidonda vya tumbo, lakini haya hayana uhusiano na vidonge vya kuzuia mi...
Read More
Sheria ya Tanzania inaeleza dawa zilizo halali na zisizo halali.
Tumbaku imekubalika na jami...
Read More
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi ina...
Read More
Ukitafuta vidokezo vya kukabiliana na ubaguzi katika uhusiano wako na msichana, basi umefika maha...
Read More
Je, ni sahihi kufanya ngono na mpenzi wako wa shule? Hii ni swali muhimu ambalo vijana wengi huji...
Read More
Idadi kamili ya Albino Tanzania haijulikani kwani hakuna
aliyewahesabu. Inakisiwa kufuatana ...
Read More
-
Kutumia Kinga Hupunguza Hatari za Maambukizi ya Ngono
Kutumia kinga ni hatua muhimu kat...
Read More
Je, kuna tofauti za kitabia katika ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna! Ili kufurahi na kufikia kil...
Read More
Tunatofautisha dawa za kulevya katika makundi mawili. Zile zinazokubalika na zile zisizokubalika ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!