Je, mapacha wanapatikanaje?
Date: April 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Zipo aina mbili za mapacha, wale wanaofanana na wale wasiofanana. Karibu robo ya mapacha wote hufanana. Hii ina maana kwamba wametokana na yai moja lililotungwa mimba ambalo hujigawa katika makundi mawili tofauti ya chembechembe, kila mojawapo hubadilika kuwa kiumbe pekee. Hadi sasa, wataalamu hawaelewi vizuri sababu za yai kujigawa. Mapacha wa aina hii , kwa vile wametokana na yai moja, mara zote huwa na jinsia moja na hufanana sana kimaumbile.
Mapacha wasiofanana hutokea wakati wa yai kupevuka, kokwa za mwanamke hutokea zikawa mayai mawili badala ya moja tu. Mayai yote mawili hurutubishwa na hutungishwa mimba kwa mbegu mbili tofauti za mwanaume. Viumbe viwili hukua wakati mmoja katika mfuko wa uzazi. Mbali ya kukua katika mfuko mmoja wa uzazi na kuwa na umri uleule, mapacha hawa ni sawa sawa na watoto wengine wawili wa wazazi haohao. Wanaweza kuwa wa jinsia na maumbile tofauti kabisa.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
- Je, watu wanapenda kujaribu nafasi mpya za ngono/kufanya mapenzi?
Hivi karibu...
Read More
Kama una nia ya kuimarisha uhusiano wako na msichana, ni muhimu kuwa na mawasiliano mazuri ya sim...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kukosa Uaminifu kuhusu Ngono? π
Karibu kwa makala hii...
Read More
Ile ngozi ndani ya uke i inabakia kuwa nyembamba na laini sana, hata mwanamke akiwa bikira katika...
Read More
Kama wapenzi, kujadili matakwa na matarajio yako ya ngono/kufanya mapenzi na mwenza wako ni jambo...
Read More
Je, kuna mambo mazuri na mabaya kuhusu ngono/kufanya mapenzi? Ndio, kuna mambo mengi sana ambayo ...
Read More
Ipo njia moja ya kuhakikisha kama umeambukizwa Virusi vya UKIMWI na UKIMWI au hapana. Njia hii ni...
Read More
Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Kujikinga na Mimba
Karibu sana marafiki zangu! L...
Read More
Ni kweli hiyo ni dhuluma na inaitwa unyanyasaji wa kijinsia kwa
mtoto. Watoto wanaweza kusha...
Read More
Katika uhusiano wowote, mvutano ni jambo ambalo huwezi kuliepuka. Hata kama mna furaha nyingi pam...
Read More
Leo tutazungumzia njia za kujenga ushawishi na msichana katika uhusiano. Kujenga ushawishi kunama...
Read More
Sheria ya msingi ya ndoa nchini Tanzania ni Sheria ya ndoa ya
Bunge, iliyopitishwa mwaka 197...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!