Afya ya uzazi ni nini?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Afya ya uzazi inahusiana na mfumo wa uzazi wa mtu, na via
vya uzazi kwa watu. Kwa hali hiyo basi inahusiana na mambo
yote yanayojumuisha uzazi na ujinsia. Ina maana kuwa watu
wana uwezo wa kukidhi mapenzi na usalama katika maisha
yao, kwamba watu wana uwezo wa kuwa na watoto na pia wana
uhuru wa kuamua, kama lini na kwa muda gani wapate watoto.
Yaliyomo humu yanampa haki mwanamume na mwanamke kupewa
habari au kuelekezwa na kufikiwa na njia za uzazi wa mpango
ambazo ni salama, zinazofanya kazi, anazomudu kulipia na njia
zinazokubalika za uzazi wa mpango alizochagua na haki ya kuwa
na huduma za afya zinazofaa ambazo zitawawezesha wanawake
kuwa salama wakati wa ujazito na kujifungua.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Nifanyeje Kukabiliana na Mawazo yasiyofaa kuhusu Ngono? π€β
-
Jua vipaumbele v...
Read More
Jinsi ya Kujifunza Kutambua na Kuheshimu Makubaliano ya Kufanya Ngono π
Karibu vijana w...
Read More
Ndiyo, unaweza kuambukizwa ukitumia nyembe kali au sindano kwa kuchangia pamoja na mtu mwenye vir...
Read More
Jambo la faragha kabisa ni ngono au kufanya mapenzi. Kila mtu ana hisia tofauti kuhusu suala hili...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Kubaguliwa Kuhusiana na Ngono? π
Habari rafiki! Leo t...
Read More
Uvutaji wa aina zote una madhara. Kama utavuta sigara na
kuvuta moshi kwa kutumia mdomo hadi...
Read More
Muda unaofaa kutumia njia ya kupanga uzazi ni wakati unapojamiiana kwa mara ya kwanza. Huu ni wak...
Read More
Nifanyeje Kukabiliana na Hisia za Wivu Kuhusu Masuala ya Ngono? π
Karibu kijana! Leo tu...
Read More
Ndiyo, utaweza kuvipata virusi vya UKIMWI. Uwezekano wa kuambukizwa hautegemei umri wa mpenzi wak...
Read More
Ndiyo, unaweza. Kifo kinaweza kuwa cha ghafla au
kutokana na madhara ya muda mrefu katika vi...
Read More
Ukeketaji au tohara ya wanawake ni hatari sana kwa msichana
anayetahiriwa. Wasichana hufa kutokana n...
Read More
Ubikira ni nini?:Β Maana halisi ya neno βbikiraβ ni mwanamke au mwanaume amb...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!