Nini maana ya neno Albino?
Date: April 15, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Neno Albino linamaanisha
mtu mweupe, linatokana na
neno la lugha ya Kilatini -
albus-linamaanisha โeupeโ.
Kuanzia karne ya 17 neno
Albino limekuwa likitumika
katika kueleza hali ya kundi
la viumbe hai (watu, wanyama
na hata mimea) ambao wana
upungufu au ukosefu wa rangi
katika ngozi, macho na nywele.
Kwa binadamu ni bora kutumia
maneno โWatu wanaoishi na
ualbino
kwani itamaanisha kuwa ni watu kama wengine ila wanaishi na
hali tofauti ya โualbinoโ. Katika kitabu hiki maneno haya mawili
yatatumika.
Lugha inajenga dhana na kuunda hali ya ukweli / uhalisi. Kwa
sababu hiyo ni lazima tuache kutumia maneno kama โzeruzeruโ.
Neno hili linamaanisha sifuri mara mbili au mtu asiye na
thamani. Utumiaji wa neno hili ni dharau ya utu na kulaumu
watu wanaoishi na ualbino kama kosa lao.
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Jambo rafiki yangu! Katika maisha ya kila siku, tunakutana na wasichana wengi ambao tunapenda kuw...
Read More
Je, kuna mambo ya haramu katika ngono/kufanya mapenzi? Hili ni swali ambalo linaweza kuwa na maji...
Read More
-
Je, unajiamini wakati wa kufanya ngono/kufanya mapenzi? Swali hili limewahi kuulizwa ma...
Read More
Kujenga uhusiano na msichana ni jambo muhimu katika maisha ya kimapenzi. Uhusiano unapokuwa imara...
Read More
Habari za leo wapenzi wangu! Nami nina furaha sana kuwa hapa leo kuongelea kuhusu swala la ngono ...
Read More
Hapana, huwezi ukarithi uvutaji wa bangi. Lakini mara nyingi watoto huiga tabia za wazazi wao. Wa...
Read More
Wakati mwingine, migogoro katika uhusiano wako na msichana inaweza kuonekana kama jambo lisilowez...
Read More
Watu ambao wanaonekana tofauti na wengine (ama kwa misingi
ya kabila, rangi, dini, kimo au h...
Read More
Ili mwanaume aweze kujamii ana, ni lazima uume usimame na kuweza kupenya ukeni. Kama mvulana anasisi...
Read More
Kuoana maana yake ni kuwajibika kwa maisha yako na mke au mume wako. Mara nyingi kuoana kunaambatana...
Read More
Kujenga ukaribu wa kiroho na msichana katika uhusiano ni jambo muhimu sana. Uhusiano wa kimapenzi...
Read More
Je, kuna umuhimu wa kufanya mazoezi ya kuboresha nguvu na stamina wakati wa ngono/kufanya mapenzi...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!