Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/list.ackyshine.com/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Je, wasichana wana viungo gani vya uzazi na kazi zake ni zipi?

Featured Image
Viungo vya uzazi vya ndani vinaonekana katika michoro inayofuata:
Ukiangalia mchoro huu hapo juu, ambao unaonyesha via vya uzazi vya ndani, utaona uke, mfuko wa uzazi, kokwa za mayai na mirija ya kupitisha mayai. Uke ni mfereji ulio kati ya mfuko wa uzazi na sehemu ya nje ya via vya uzazi. Uke unatumiwa wakati wa kujamii ana, damu ya hedhi na mtoto hupita hapa. Urefu wa uke kwa wastani ni sentimita 7 hadi 8. Mfuko wa uzazi kwa kawaida huwa na ukubwa unaofikia embe ndogo. Yai moja lililorutubishwa hujishikilia kwenye kuta zake nazo huitunza mimba mpaka siku ya kuzaliwa mtoto. Wakati wa ujauzito mfuko wa uzazi hukua taratibu ukistahimili ukuaji wa mtoto. Kila upande wa mfuko wa uzazi i i ipo kokwa ya mayai, ambayo i ina ukubwa kama mbegu ya harage. Kila mwezi yai moja hukomaa kwa upande wa kulia au kwa upande wa kushoto na husafiri kwa kupitia katika mrija wa falopia. Kazi ya mirija ni kupitisha yai lililopevuka kila mwezi kutoka kwenye kokwa za mayai mpaka mfuko wa uzazi. Yai hutungishwa ndani ya mirija hii.
Ukiangalia mchoro huu unaoonyesha via vya uzazi vya nje, utaona midomo ya nje na midomo ya ndani, halafu kisimi, tundu la mkojo, sehemu ya haja kubwa na mlango wa uke. Midomo ya nje na ya ndani ni mii nuko ya ngozi na i iko hapo kuhifadhi sehemu za ndani za uke. Kisimi (au kinembe) ni sehemu ya juu kabisa ndani ya uke na ni sehemu ya uke ambayo humsaidia mwanamke awe na msisimko au asikie utamu wakati wa kujamii ana. Kama tulivyoona hapo juu, mlango wa uke ni tundu ambalo damu hutokea wakati wa hedhi. Pia ni sehemu unapoingia uume wakati wa kujamii ana na mtoto hutokea sehemu hii anapozaliwa. Tundu la mkojo ni juu ya mlango wa uke na ni tundu ambalo mkojo hutokea. Sehemu ya haja kubwa ni sehemu i inapopita haja kubwa (kinyesi). Kama wewe ni msichana, unaweza kuamua kutumia kioo kujiangalia sehemu zako za via vya uzazi vya nje. Kwa njia hii unaweza kuyaelewa vizuri maumbile yako.
AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Mbinu za Kupata Tarehe na Wasichana kwa Mafanikio

Mbinu za Kupata Tarehe na Wasichana kwa Mafanikio

Leo, tunazungumzia mbinu za kupata tarehe na wasichana kwa mafanikio. Kila mtu anataka kuwa na mp... Read More

Je, gongo na sigara husaidia uyeyushaji wa chakula?

Je, gongo na sigara husaidia uyeyushaji wa chakula?

Ni imani na fikra potofu kwamba, ukinywa gongo au kuvuta
sigara kwa kiasi kidogo baada ya ch... Read More

Njia za Kuonyesha Msichana Wako Kuwa Ana thamani Kwako

Njia za Kuonyesha Msichana Wako Kuwa Ana thamani Kwako

Kama mwanaume, kuna mambo mengi ambayo unaweza kufanya ili kuonyesha msichana wako kuwa ana thama... Read More

Sheria kuhusu utoaji mimba

Sheria kuhusu utoaji mimba

Sheria kuhusu utoaji
mimba zinatofautiana
kati ya nchi na nchi. Hapa
Tanzania utoa... Read More

Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?

Kwa nini pombe za kienyeji ni hatari kuliko pombe za viwandani?

Pombe zinazotengenezwa kiwandani zinafuata viwango
ambavyo ubora wake umethibitishwa kihalal... Read More

Je, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?

Je, kuna madhara kama mtu akikaa muda mrefu bila kufanya mapenzi?

Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote ya kiafya ukikaa muda mrefu bila kujamii ana. Hakuna madha... Read More

Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)?

Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)?

Nifanyeje Kuzungumza na Mwenzi Wangu kuhusu Matumizi ya Vipira (IUD)?

Karibu sana! Leo tut... Read More

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Vidonge vya Kuzuia Mimba

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Vidonge vya Kuzuia Mimba

Jinsi ya Kuzungumza na Mwenzi Wako kuhusu Matumizi ya Vidonge vya Kuzuia Mimba 😊

Karibu... Read More

Vidokezo vya Kufurahia Safari za Pamoja na Msichana

Vidokezo vya Kufurahia Safari za Pamoja na Msichana

Kila mwanamume anapenda kukutana na msichana ambaye anaweza kuwa rafiki wa karibu na kuwa na uhus... Read More

Kwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?

Kwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?

Ulemavu maana yake ni hitilafu katika mwili au akili inayomwekea
mipaka mtu asiweze kufaniki... Read More

Magonjwa ya zinaa na dalili zake

Magonjwa ya zinaa na dalili zake

Kuna magonjwa mengi tofauti ya zinaa, lakini yale ambayo yameenea sana ni kisonono, kaswende, klamdi... Read More
Njia za Kufurahisha Msichana na Shughuli za Kujenga Timu

Njia za Kufurahisha Msichana na Shughuli za Kujenga Timu

Kama unatafuta njia za kufurahisha msichana na shughuli za kujenga timu, basi umefika mahali pazu... Read More

πŸ“– Explore More Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About