Warning: Undefined variable $user_id in /home/ackyshine/list.ackyshine.com/sidebar.php on line 36
Sidebar with Floating Button
AckySHINE πŸ”
☰
AckyShine

Kisa cha mzaramo na mchaga

Featured Image

MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote
kwa tsh. 100,000/=
Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki
yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa yakujipatia hela aiwezi mpita akaenda kutibiwa.
MZARAMO: "unaumwa nini?"
MCHAGA: "Sisikii ladha ya aina yoyote mdomoni kabisaaaa.."
MZARAMO: "sawa, toa laki kabisa.."
Mchaga akatoa.
MZARAMO akamuagiza msaidizi wake; "Naomba kikopo no.27 mpe anywe huyu.."
MCHAGA akanywa akatema faster; "Puh puu puu, Aisee huu si mkojo huu..?"
MZARAMO: "Umepona karibu tena.."
Mchaga aka-mind sana Kesho yake akarudi tena hakuamini ameliwa pesa yake.
MCHAGA: aisee nina tatizo la kumbukumbu nasahau
sanaaaaa.."
MZARAMO akamwambia "hakuna tabu, toa laki tukupe tiba..'
MCHAGA akatoa pesa akijua leo lazima afanikiwe..'
MZARAMO: "nesi naomba kikopo no.27.."
MCHAGA: "ASA CHALII ANGU HICHO SI CHA JANA CHA MKOJO HICHO AISEE..?"
MZARAMO: "UMEPONA KUMBUKUMBU UNAYO.

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜

AckySHINE Solutions

Comments

Please log in or register to leave a comment or reply.

Mariam (Guest) on April 5, 2015

Haha! Sijacheka hivi kwa muda mrefu! 🀣

Related Posts

Kichekesho cha mke wa mvuvi

Kichekesho cha mke wa mvuvi

CHEKA KIDOGO

MVUVI MASKINI NA MKEWE MALAYA.
Mvuvi mmoja alikua akiishi na mke wake huk... Read More

Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia

Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia

……… Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena ku... Read More

Huyu mlinzi bwana

Huyu mlinzi bwana

High school Flashback!!
.
Watchman : Amkeni muende morning preps.
Allan : Mimi ni ... Read More

Angalia mtoto alivyowaumbua Baba na mama yake

Angalia mtoto alivyowaumbua Baba na mama yake

DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke Na
Akaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beib…
B... Read More

Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi

Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi

πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu,... Read More

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni noma, Angalia wanachokifanyaga wakimwona mwanamke

Wanaume ni viumbe WASTAARABU sana..Mdada anapokua kavaa BIKINI na BRA tu, 98% ya mwili wake unak... Read More

Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini

Kilichotokea kati ya mkaka na mdada walipokutana hotelini

Mkaka aliingia kwenye hoteli moja akaketi meza moja na mdada mrembo maarufu sana;
MKAKA: Sam... Read More

Raha ya kuoa mke ambaye hajasoma

Raha ya kuoa mke ambaye hajasoma

Ukioa mke asiyesoma hata hili unaweza kufanya

KUOA MKE AMBAE HAJASOMA RAHA SANA LEO... Read More

Kilichotokea baada ya kichaa kumfumania mke wake na mwanamme mwingine

Kilichotokea baada ya kichaa kumfumania mke wake na mwanamme mwingine

Jay akaruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na ny... Read More
Kilichompata huyu jamaa mroho wa nyama, Hata kaa arudie tena

Kilichompata huyu jamaa mroho wa nyama, Hata kaa arudie tena

Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake Levi, kule sehemu za kwetu, akakaribishwa bonge ya ugali na ... Read More

Cheka na methali

Cheka na methali

1.Simba mwendapole =Huyo ni Sharobaro
2.Asiyefunzwa na Mamae= Ujue Mama hajapitia Ualimu
Read More

Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala

Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala

Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo ma... Read More

πŸ“– Explore More Articles
🏠 Home πŸ“– Reading πŸ–ΌοΈ Gallery πŸ’¬ AI Chat πŸ“˜ About