Baada ya kunitumia SMS usiku ikawa hiviβ¦.
Date: March 17, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text "mambo vipi?"β¦halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu "shwari"halafu nikarudi nyumbani kulala zangu..
Sipendagi kuchezea salio..
πππππ
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae
akamwambia kwa ukali
"Unajua nimechoka sasa, haya kusanya ...
Read More
Wazazi wengine wanaandikaΒ MBWAβMKALIΒ kwenye geti lao kama binti wao ana mia...
Read More
Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti ...
Read More
Oya people hv kwa mfano Dada yako akisomea sheria ndo anaitwa sister in law? au...
Read More
Kubeba nauli kamili nayo ni shida
Yani nimepanda daladala
Kondakta mmoja akaingia kweny...
Read More
Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana ali...
Read More
Baada ya kuumwa na Meno nikaamua hivi.
mimi sipeΓ±dagi ujinga,,,Nmeumwa na jino moj...
Read More
Baada ya kumaliza Degree yake ya sheria Bwana Rwegashora aliamua kurudi nyu...
Read More
Leo nimeiogopa pombe.
Nimetokea kuiogopa pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza muzik...
Read More
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia b...
Read More
Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni...
Read More
Mtu na mkewe walikuwa bado wamelala asubuhi, mtu akapiga hodi mke akaenda kufungua mlango, si aka...
Read More
Alice Jebet (Guest) on July 2, 2024
ππ
Mwanahawa (Guest) on June 25, 2024
Nitaeleza hii kwa marafiki zangu bila shaka! π
Ahmed (Guest) on June 22, 2024
Hii ni kichekesho kali sana, ninashiriki na kila mtu! π
James Kimani (Guest) on June 7, 2024
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! π
Frank Macha (Guest) on June 6, 2024
π Hii imenifanya siku yangu iwe bora!
Mary Njeri (Guest) on May 30, 2024
Napenda vile mnaweka jokes kila siku! ππ
Khatib (Guest) on May 19, 2024
π Ninaituma hii kwa kila mtu ninayemjua!
Khalifa (Guest) on April 27, 2024
π Lazima nihifadhi hii!
Esther Cheruiyot (Guest) on March 28, 2024
Hii kichekesho inastahili tuzo! π
Rahma (Guest) on February 17, 2024
π Hiyo punchline ilikuwa kali!
Janet Wambura (Guest) on February 1, 2024
Hii imenifurahisha sana! ππ
Samson Tibaijuka (Guest) on January 9, 2024
Kweli mna ucheshi! ππ€£
Vincent Mwangangi (Guest) on January 8, 2024
ππ€£π
Agnes Njeri (Guest) on January 8, 2024
π€£π€£ππ
Mary Njeri (Guest) on January 2, 2024
π€£ Kichekesho bora kabisa!
Thomas Mtaki (Guest) on December 10, 2023
π€£π₯π
Edward Chepkoech (Guest) on November 22, 2023
Hii imenipa kicheko cha siku! ππ€£
Elizabeth Mrope (Guest) on November 21, 2023
π Siwezi kuacha kucheka na hii!
George Ndungu (Guest) on November 19, 2023
Hii imenipa furaha ya siku! ππ
Grace Minja (Guest) on November 10, 2023
πππ€£
Zubeida (Guest) on October 27, 2023
π Bado nacheka!
Diana Mallya (Guest) on October 7, 2023
πππ π€£
Victor Mwalimu (Guest) on October 4, 2023
π Dhahabu ya vichekesho!
Alice Mwikali (Guest) on August 30, 2023
Hii ni joke ya kufurahisha sana! ππ
Esther Nyambura (Guest) on August 25, 2023
Kweli mna kipaji cha ucheshi! ππ€£
Alex Nakitare (Guest) on August 24, 2023
Hii ni aina ya kichekesho usichosahau! π
Amina (Guest) on July 29, 2023
π Siwezi hata kupumua, ni kichekesho sana!
Jane Muthoni (Guest) on July 26, 2023
π€£ππ
Martin Otieno (Guest) on July 18, 2023
Nimecheka hadi machozi yanatoka! π€£π
Joyce Mussa (Guest) on July 10, 2023
π€£ Hiyo punchline ilikuwa haikutarajiwa!
Jane Malecela (Guest) on July 9, 2023
π Bado nacheka!
Moses Kipkemboi (Guest) on July 6, 2023
πππ
Anna Malela (Guest) on June 10, 2023
Hizi jokes ni za kipekee sana! ππ
Mary Njeri (Guest) on June 5, 2023
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ππ
Alice Mwikali (Guest) on May 18, 2023
Hii joke ni ya kufurahisha! π€£π€£
Elizabeth Mrema (Guest) on May 16, 2023
Nimefurahia sana hii joke! π π
Stephen Kangethe (Guest) on April 25, 2023
π Kicheko bora ya siku!
Ruth Mtangi (Guest) on April 25, 2023
Umesema kweli! ππ
Benjamin Kibicho (Guest) on April 1, 2023
Kweli mna ucheshi wa kipekee! ππ€£
Esther Nyambura (Guest) on March 25, 2023
Ucheshi wenu ni wa hali ya juu! ππ€£
Janet Sumari (Guest) on March 16, 2023
Kweli ni jokes za ukweli! ππ
Alice Mrema (Guest) on March 14, 2023
Hii ni ya maana sana! ππ
Alice Mrema (Guest) on February 22, 2023
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! ππ
Miriam Mchome (Guest) on February 10, 2023
Nimefurahia hii sana! ππ
Peter Mwambui (Guest) on January 30, 2023
Kweli mnajua kuchekesha watu! π€£π
Mhina (Guest) on November 22, 2022
Hii kichekesho imebadilisha kabisa hali yangu! π
Victor Sokoine (Guest) on November 6, 2022
ππ€£ππ
Rose Lowassa (Guest) on October 11, 2022
π€£ Hii imenigonga vizuri!
Maneno (Guest) on October 10, 2022
π Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
Amir (Guest) on October 3, 2022
π Hii imenigonga kweli!
Bahati (Guest) on September 14, 2022
π Ilibidi nishiriki hii na kila mtu!
Anthony Kariuki (Guest) on September 4, 2022
Hii imenikuna! ππ
Nicholas Wanjohi (Guest) on September 1, 2022
π Umenishika vizuri!
Mariam (Guest) on August 28, 2022
π Sikutarajia hiyo ikitokea!
Nancy Kabura (Guest) on August 3, 2022
π Kali sana!
Michael Onyango (Guest) on July 25, 2022
π Umeshinda mtandao leo!
Alex Nakitare (Guest) on July 16, 2022
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu sana! ππ
Diana Mallya (Guest) on June 18, 2022
Huu ucheshi hauna kifani! π€£π₯
Philip Nyaga (Guest) on June 7, 2022
Asante Ackyshine
Catherine Mkumbo (Guest) on May 28, 2022
Mna talent ya jokes! ππ