Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Alichofanya mke baada ya mme wake kupenda kumchunga sana
π β
Available in PDF
Updated at: 2023-04-29 22:53:52 (3 years ago by Melkisedeck Leon Shine)
Alifanya hivi; Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?. MKE: Salama tu MUME: Uko wapi? MKE: Jamani si niko nyumbani MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa blender nisikieβ¦..mkeΒ akawasha blender MKE: Umesikia? MUME: Okay haya mi natoka kazini naja
Updated at: 2024-05-25 18:04:54 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo zaliwa kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
Huyu mwanamke ni noma cheki alichomwambia mme wake baada ya kumnunulia nguo za ndani
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-25 18:13:14 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mume kaingia duka la nguo na kamnunulia mke wake chupi dazeni moja zote za rangi nyeusi, akaenda kumzawadia. Mpenzi akashukuru lakini alipogundua kuwa zote ni nyeusi si akaropoka. MY HONEY: Sasa umeninunulia chupi zote nyeusi, sasa watu si watadhani nina chupi moja tu sibadili,
Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-25 18:08:04 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini?
.
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali
.
MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa faini⦠Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa