Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
eBooks: Mbinu za Kilimo na Ufugaji Kukuongezea Mapato - Topic 2 - AckySHINE
Jinsi ya kutumia mashonanguo kama dawa ya kuzuia wadudu kwenye mimea
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-23 15:46:10 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mashonanguo kwa kiingereza ni Blackjack au kwa kisayansi yanajulikana kama (Bidens pilosa) Mashona nguo yanazuia wadudukama vile Vidukari, Siafu, bungo, katapila, chenene (crickets), nyenyere, siafu na inzi weupe.
Aina kuu ya mizinga bora ya nyuki kwa ajili ya kupata asali nyingi
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-23 15:46:08 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Hii ni aina ya mizinga inayotumika sana na wengi. Gharama yake ni ndogo kiasi kulinganisha na mingine. Ni aina nzuri sana kwa mtu anaeanza ufugaji wa nyuki kwa kuwa ni wa gharama nafuu. Mfugaji wa nyuki anaweza kutengeneza mzinga Yya aina hii mwenyewe kama ana utaalamu wa useremala.
Jinsi ya kulima vitunguu (vitunguu maji) kwa mbinu za kilimo bora na kwa faida
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-23 15:45:49 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Vitunguu ni zao la mbogamboga na hulimwa kwa ajili ya balbu zake ambazo hutumika kama kiungo cha chakula. Vitunguu vina matumizi mengi sana na vina madini joto, chuma, vitamin A, vitamin B, vitamin C na vitamin E. Vitunguu hulimwa na hukubali zaidi nyanda za baridi. Nyanda zenye joto vitunguu hulimwa pia. Vitunguu vinaweza kulimwa mwaka mzima endapo maji yanapatikana.
Mambo 6 muhimu ya kuzingatia kupata udongo bora mzuri shambani
π β
Available in PDF
Updated at: 2024-05-23 15:46:05 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Udongo ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji wa mazao. Ni mfumo wa uhai kwa mimea. Kwa hiyo, mkulima ni lazima alenge katika kutunza uhai wa udongo na kuepuka usumbufu kwa uhai wa udongo.